WP4

WP4 –Magonjwa yanayohatarisha na mitindo ya magonjwa

Mfadhiliwa anayeongoza: SMHI

WP hii hutenda kazi katika WPs 2(kinachosababisha magonjwa ya kihistoria), 3(miundo inayoelezea mitindo ya magonjwa) na 5 (taratibu za uamuzi na egemezo)

Madhumuni

  • Utabiri wa tabia ya nchi wa siku za baadaye unaohusiana na matukio yanayowezekana ikiwemo maamuzi yanayofaa katika kukumbana na magonjwa yanayoambukiza na ramani zinazodhihirisha sehemu ambazo zinakumbwa na hatari za magonjwa haya
  • Makadirio juu ya mabadiliko katika kiasi cha maji ya juu, kutokana na modeli za hydrolojia za maji ya juu zinazohusiana na mabadiliko ya baadaye ya tabia ya nchi
  • Matokeo kuhusu mabadiliko ya siku za baadaye katika jamii na uchumi na kiuchumi na vilevile matumizi ya ardhi
  • Kutathmini tofauti zilizomo katika hatari za baadaye zinazohusiana na magonjwa na mambo mengine yanayosababisha magonjwa (ikiwemo adhari za kiuchumi)

Kazi

Kazi: 4.1 Kudhibitisha maeneo ambayo yanaweza kukabiliwa na magonjwa matatu yanayoshugulikiwa na mradi huu

Kazi; 4.2 Kutathmini na kutoa makadirio kuhusu mabadiliko katika tabia ya nchi katika maeneo yanayoshughulikiwa na mradi huu kutokana na miradi ya zamani na inayoendelea kwa wakati huu

Kazi: 4.3 Kutoa habari kuhusu mabadiliko kutokana na matumizi ya ardhi

Kazi: 4.4 Kutoa habari inayoonyesha mabadiliko katika shughuli za kijamii na kiuchumi

Kazi: 4.5 Maazimio ya hali ya juu ya tabia ya nchi katika maeneo mbalimbali ya nchi za Afrika mashariki

Kazi: 4.6 Kudhihirisha hatari zinazoweza kutokana na magonjwa na sehemu zinazoweza kukabiliwa na magonjwa haya

Matokeo ya WP4 yanaweza kuenezwa maeneo mengine ambayo mradi huu haufanyi kazi

Read 5458 times Last modified on Donderdag, 11 Augustus 2011 09:53
Translate