WP5

WP5 Vifaa vya kurekebisha na vya kutoa usaidizi: kufanikisha vifaa vya kutoa usaidizi

Mfadhiliwa anayeongoza: SEI

Madhumuni

  • Kudhibitisha marekebisho katika mabadiliko ya kimazingira na tabia ya nchi wakifanya kazi pamoja na  washika dau na wafadhiliwa wengine  katika mradi huu
  • Kutumia na kurekebisha  usimamizi uliopo wa kimataifa unaohusiana na mazingira na tabia ya nchi ili  kutilia nguvu sekta za afya na wizara nyingine na hivyo kuweza kupata sehemu za kuungana pamoja
  • Kuunda upya vifaa vitakavyotoa usaidizi maalum ili kuweza kuunganisha usimamizi wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi katika miradi ya afya ya umma

Kazi

Kazi 5.1 Kudhibitisha na kutathmini usimamizi wa mazingira na kutengeneza mipango ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi

Kazi 5.2 Kutambua washika dau muhimu ili kutilia nguvu utaratibu wa afya ya binadamu na wanyama

Kazi 5.3 Kutumia na kutathmini usimamizi uliopo wa mazingira na kutengeneza vifaa vya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi

Kazi 5.4 Kurekebisha vifaa vya kusaidia kutoa uamuzi vinavyohusiana na homa ya bonde la ufa

Kazi 5.5 Kufanikisha namna ya kutoa uamuzi katika ‘Adaptation Decision Explorer’

Read 4193 times Last modified on Donderdag, 11 Augustus 2011 09:54
Translate