WP1

WP1-Usimamizi wa mradi

Mfadhiliwa anayeongoza: AquaTT

Madhumuni

o   Kuhakikisha kwamba kazi inayofanywa katika mradi huu inafanywa kwa ustadi na inatoa matokeo yanayotarajiwa.

o   Kuhakikisha kuwa kiwango cha juu cha kimataifa kinatekelezwa katika kukusanya habari, kusimamia mradi na katika utoaji wa habari.

o    Kuweka mipango,na mitaratibu na hasa kusimamia rasilimali ili kupata ufanisi katika kukamilisha nia ya mradi huu.

o   Kurahisisha namna ya mawasiliano kupitia maandishi,mazungumzo,na mahusiano, kati ya washiriki katika ubia ili kuhakikisha kuwa yapasayokufanywa yametekelezwa, na pia  kutoa uwazi na kuhakikisha kuweko kwa uhusiano bora kati ya mradi na Muungano wa Ulaya. 

Kazi

Kazi: 1.1 Utaratibu utakoasimamia mradi huu katika mtandao

Kazi : 1.2 Mpango wa mawasiliano

Kazi: 1.3 Kupanga mikutano ya washiriki

Kazi : 1.4 Usimamizi wa mradi

Kazi: 1.5 Udhibiti wa data

Kazi: 1.6 Mpango wa kusimamia hatari zozote zinazoweza kutokea katika mradi

Kazi: 1.7 Mpango bora wa kutathmini

Read 4486 times Last modified on Donderdag, 21 Julie 2011 12:19
Translate