Habari za wakati uliopita

1) Mkutano wa Afya Bora ya Baadaye, 14-15 Februari, Dublin, Ireland

2) Afya Bora ya Baadaye: mkutano wa kuanzisha ulifanikiwa

3) Nafasi ya shahada ya Udaktari wa falsafa

4) Partner mkutano wa pili Oktoba 2011

5) Mradi wa Maisha Bora ya Baadaye ukishirikiana na QWeCI utapanga mkutano wa jumla wa baraza la ‘European Geosciences Union’ (EGU),utakaofanyika Vienna,Aprili 22-27-2012

6) Afya Bora ya Baadaye:Mkutano wa pili wa Washiriki unafanikiwa

7) David Taylor anaongea kuhusu jinsi mabadiliko katika tabia ya nchi yanaathiri afya katika mkutano wa Umoja wa Mataifa Durban, Afrika Kusini

8) Jarida la kwanza la Mradi wa Afya Bora ya Baadaye limetolewa

9) Kumbukumbu na ripoti za mkutano wa kwanza kutoka kwa penali huru ya kukagua mradi zinaweza kupatikana

10) Mark Booth anaongea juu ya magonjwa yaliyosahaulika katika nchi zenye joto

11) Mabadiliko ya tabia ya nchi yanahatarisha Afya kama ilivyoonyeshwa katika matukio mbalimbali Dublin mwezi Mei 2012

12) Tolea la pili la taarifa ya Mradi wa Afya Bora ya Baadaye sasa liko tayari

13) Kumbukumbu na ripoti za mkutano wa pili kutoka kwa penali huru ya kukagua mradi zinaweza kupatikana hapa

14) Tovuti ya VECTRI inaanzishwa

15) Modeli ya kuonyesha mitindo ya magonjwa (The Disease Model Cradle (DCM) yaweza kupakuliwa kutoka tovuti ya QWeCI

16) Mwito wa kutuma muhtasari wa makaratasi: Mazingira na afya Afrika (Mkutano kuhusu tabia ya nchi na magonjwa yanayosababishwa na vekta)

17) Mark Boon ahojiwa na chombo cha habari, IRIN (Integrated Regional Information Networks)

18) Mradi wa Afya Bora ya Baadaye na mradi wa CGIAR wanajadiliana kuhusu uhusiano ulioko kati ya kuweko kwa chakula bora na uhusiano na magonjwa

19) Habari kuhusu kongamano la nne

20) Tolea la tatu la Jarida la Mradi wa Afya Bora ya Baadaye limetolewa

21) Kongamano lililofanyika kuhusu tabia ya nchi na magonjwa yanayosababishwa na vekta lilifaulu

22) Nafasi ya kufanya utafiti wa kuwezesha kubashiri uzukaji wa magonjwa kwa walio na shahada ya udaktari wa Falsasa

23) Kipeperushi ama brosha ya Mradi wa Afya Bora ya Baadaye sasa chaweza kupatikana katika lugha ya kiingereza na kiswahili

24) Video kuhusu Mradi wa Afya Bora ya Baadaye sasa yaweza kupatikan

25) Tolea la nne la jarida la Mradi wa Afya Bora ya Baadaye sasa liko tayari

26) Ujumbe kuhusu sehemu zinazofanyiwa utafiti wa ugonjwa wa bode la ufa na malaria zaweza kupakuliwa

27) Kumbukumbu na ripoti za mkutano wa tatu kutoka kwa penali huru ya kukagua mradi zaweza kupatika

Read 5356 times Last modified on Woensdag, 07 Oktober 2015 11:02
Translate