WP7

WP7 Kuongezea nguvu katika utafiti na  jinsi utafiti utakaviotumiwa

Mfadhiliwa anayeongoza: NUR

Madhumuni

Kuanzisha ushirikiano na vikundi vingine ambavyo vinahusika na mradi kama huu,kwa mfano QWeCI,ili kujenga namna ya kuhakikiwa kwa mradi huu na wataalamu wasiohusikana na Mradi wa Afya Bora ya Baadaye, kupitia kwa mikutano miine itakayofanyika kila mwaka ili;

  • Kuepukana na kunakili kwa utafiti wa miradi miingine ya kimataifa, miradi ya Muungano wa Ulaya na ile isiyokuwa ya Ulaya iliyofadhiliwa
  • Kujenga uhusiano na washika dau wa Ulaya, Afrika na wa kimataifa.
  • Kuongeza urekebishaji wa utafiti, kuhakiki matokeo ya kisayansi, na kutoa vifaa vya kusaidia kutoa uamuzi
  • Kuhakikisha usimamizi bora wa mradi na kuzingatia madili  ya hali ya juu na mazoa mazuri pamoja na faragha ya mgonjwa, kusitawisha sera, na kushirikiana pamoja na wafadhili wa kimataifa

Kazi:

Task 7.1 Kutambua miradi na mikutano inayofaa

Task 7.2 Kuanzisha penali ya wataalamu itakayohakiki mradi

Task 7.3 Uhakiki rasmi wa maandishi na matukio yatakayowezesha kufanya kazi pamoja

Task 7.4 Ripoti za matokeo ya mikutano

Read 6472 times Last modified on Donderdag, 11 Augustus 2011 09:54
Translate