WP2

WP2 –Taarifa kuhusu magonjwa na ujenzi wa hifadhidata

Mfadhiliwa anayeongoza:  ICTP

Madhumuni

  • Kukusanya na kuhakikisha kuwa taarifa zinazohusiana na mradi huu,kama vili taarifa za kihistoria,hifathidata kuhusu swala la kijamii na kiuchumi,na vivevile data za migogoro,za matumizi ya ardhi,  tabia ya nchi, na data za magonjwa ni za hali ya juu.
  • Kustawisha hifathidata zilizopo zenye taarifa ya mradi wa Afya Bora ya Baadaye, na kupatanisha habari zote za WP hii zinazoweza kupatikana kupitia tovuti hii kwa hifathidata ya mradi huu.

Kazi

Kazi: 1.2 Mkusanyo wa data za kihistoria

Kazi: 2.2 Mkusanyo wa data za kijamii na kiuchumi

Kazi: 2.3 Kusitawisha hifathidata kuhusu maeneo ya ardhi/ matumizi ya ardhi/ maeneo yanoyokuwa na maji ya juu

Kazi: 2.4 Ufanisi wa hifathidata juu ya tabia ya nchi

Kazi: 2.5 Kuleta pamoja hifadhidata ya maeneo yanayokaribiana ili kuwezesha kufanya uchambuzi wa magonjwa

Kazi: 2.6 Kuweka pamoja hifathidata za magonjwa

Kazi: 2.7 Kuunda mtandao wa hifathidata ya mradi (ukumbi wa kutoa habari)

Read 4228 times Last modified on Donderdag, 28 Julie 2011 16:21
Translate