WP3

WP3-Uhusiano kati ya mazingira na magonjwa pamoja na vielelezo

Mfadhiliwa anayeongoza: UDUR

Madhumuni

  • Kufanya utafiti wa uwanja mara mbili ili kutathmini hifadhidata za mazingira na za hydrolojia iliyoshugulikiwa na WPs2 na 4 na kukusanya taarifa kuhusu vekta wanaoambukiza magonjwa na wale waoathiriwa na haya magonjwa ili kuelewa zaidi magonjwa.
  • Kufanikisha takwimu zinazoonyesha maambukizo ya magonjwa yanaoshughulikiwa na mradi huu katika nchi za Afrika Mashariki na kulinganisha takwimu hizi na zile zilizokuwepo hapo mbeleni.
  • Kutumia takwimu hizi ili kuzalisha taarifa kuhusu uzukaji wa magonjwa matatu yanayoshughulikiwa na mradu huu

Kazi

Kazi: 3.1 Utafiti wa nyanjani kuhusu yale magonjwa matatu yaliyolengwa

Kazi: 3.1a Uambukizaji wa ugonjwa wa kichocho nchini Uganda na Kenya

Kazi: 1b Uambukizaji wa ugonjwa wa homa ya bonde la ufa na malaria nchini Kenya

Kazi: 3.2 Utathmini na ufanisi wa takwimu za vielelezo vya magonjwa

Kazi: 3.3 Utathmini na ufanisi wa miundo ya magonjwa (kazi 3.3 imegawanywe mara tatu

                katika kazi abc)

Kazi: 3.3 a Malaria

Kazi: 3.3 b Homa ya bonde la ufa

Kazi: 3.3 c Kichocho

Kazi: 3.4 Kuunganisha pamoja matokeo mbalimbali

Read 4224 times Last modified on Donderdag, 28 Julie 2011 16:21
Translate