Mwongozo Kuhusu Data ya Afya Bora ya Baadaye

Rate this item
(0 votes)

AquaTT kama mshiriki anayeongoza ubia wa Afya Bora ya Baadaye huendeleza tovuti hii kwa niaba ya watafiti washiriki.

Taarifa hii :

  • Ni ya matumizi ya kijumla na haijawekwa kuangazia hali maalumu ya mtu binafsi au kitu fulani.
  • Si lazima iwe imeandikwa kwa upana au imekamilika.
  • Wakati mwingine uhusiana na tovuti zingine. Kuweko kwa viungo vingine kwenye tovuti hii si thibitisho kuwa ubia wa Mradi wa Afya Bora ya Baadaye unakubaliana na maoni ya tovuti hizi, ama kwamba unachukua wajibu wao.
  • Si lazima ziwe za wataalamu au zenye mawaidha ya kisheria (Ukihitaji mashauri maalum wasiliana wakati wowote na mtaalamu mwenye ujuzi unaostahili).

Lengo na wajibu wetu hasa ni kuweka taarifa hizi katika wakati wa kufaa na kuhakikisha kuwa ni sahihi. Kama kutatokea makosa yeyoye katika taarifa hizi tutajaribu kuyarekebisha.Ni lengo letu kupunguza makosa yoyote yasababishwayo na ufundi, hata hivyo hatuwezi kuhakikisha kuwa huduma zetu hazitaingiliwa au kuathiriwa na shida kama hizo.Ubia wa Afya Bora ya Baadaye hautakubali jukumu lolote linalohusiana na shida kama hizo zinazopatikana kutokana na matumizi ya tovuti hii au viungo vingine vya nje vinavyohusiana na tovuti hii.

Mwongozo kuhusu data ya Afya Bora ya Baadaye umetimiza masharti kama yalivyo katika sehemu ya C ya (haki za uvumbuzi, matumizi na uenezaji) [Intellectual Property Rights, Use and Dissemination]’ya makubaliano ya fedha za FP7- Kiambatisho II (Masharti ya kijumla).

Read 16763 times
Translate