Kanusho

Rate this item
(0 votes)

Tovuti hii inaangazia tu juu ya mradi wa Afya Bora ya Baadaye na haiwezi kulaumiwa kutokana na matumizi ya taarifa zilizomo.

Taarifa katika tovuti hii si lazima zinawakilisha maoni ya Muungano wa Ulaya (EC).

Vibali na dhima

Hata kama kila juhudi zimetiwa kuhakikisha kwamba yaliyomo katika tovuti hii ni kamili, tovuti hii imetolewa ‘kama ilivyo’ na ushirika wa Afya Bora ya Baadaye hautakuwa na uwakilishi au udhamini katika uhusiano uliosahihi ama kukamilika kwa taarifa zinazopeanwa. Yale yaliyomo katika tovuti hii yalipeanwa kwa roho safi, na hatuwezi kutoa haki kuwa taarifa zitakuwa za siku zizi hizi, za kweli na zisizopotosha au tovuti hii itakuwa ikipatikana kila wakati.

Hatuhakikishi kuwa seva zinazowezesha kuweko kwa mtandao huu hazitakuwa na shida zozote, virusi au hitilafu zozote na ni jukumu la mtumizi wa tovuti hii kuhakikisha kuwa amejilinda kutokana na matatizo hayo. Hakikisha kuwa umechunguza faili zote utakazozitoa kutoka kwa tovuti hii.

Katika webu hii hamna maarifa yanayoweza kuchukuliwa kama mawaidha ya utaalamu au mapendekezo na tunatoa uwakilishi wote na udhamini unaohusiana na yaliyomo na matumizi ya tovuti hii.

Hakuna wakati ushirika wa Afya Bora ya Baadaye utawajibika kisheria kwa sababu ya matitizo yanoyoweza kutokea kwa dharura, yasioyokusudiwa, kutokana na utumizi wa tovuti hii au ya pekee ama matatizo ya haina yeyote ile yakiwemo, bila kikomo, matatizo yanayoweza kutokana na kupoteza faida, kuvunjika kwa mikataba, data, taarifa, akiba ua uhusiano wa kibiashara uliotazamiwa, ata kama ushauri kuhusu matatizo haya ulikuwa umetolewa au haukutolewa kutokana na matumizi ya webu hii.

Jambo la pekee

Hakuna kitu chochote katika kanusho hili kinazuia au kuondoa dhima iliyodokezwa na sheria ya kifo, ulaghai, majeraha kutokana na kutokuwa waangalifu au chochote kile ambacho hakingekuwa sheria kwa shirika la Afya Bora ya Baadaye kutoa.

Hati ya Kutumia Tovuti Hii 

Unapotumia webu hii unakubali kuwa kuna yale yaliyoachwa na kuzuiwa ya dhima kama ilivyoangaziwa hapo awali na kukubali kuwa ni ya kiasi.Usitumie tovuti hii kama haukubaliani na masharti yaliyotolewa.

Kukiwa na hoja katika kanusho hili ambazo zitapatikana kuwa haziwezi kutekelezwa kulingana na sheria ifaayo, hoja hizi hazitaathiri kutekelezwa kwa hoja zingine zilizomo katika kanusho hili.

Yaliyomo katika tovuti hii, yakiwemo maandishi na picha,yamelindwa na haki ya kunakili na hii ni haki ya shirika la Afya Bora ya Baadaye isipokuwa imeelezewa vingine. Haifai kunakiliwa, kutolewa tena, kupakuliwa, kubandikwa katika webu, kutangazwa au kupitishwa kwa njia yoyote ile ila tu kwa matumizi ya kibinafsi au wakati haufanyi biashara.

Lazima idhini iliyoandikwa iitishwe kutoka kwa mwenye haki ya kunakili ikiwa tovuti hii itatumiwa kwa minajili mingine.Haki ya kunakili ya picha zote katika tovuti hii zitabaki na msanii au mwenye haki ya kunakili.

Hakuna sehemu ya tovuti hii inafaa kusambazwa au kunakiliwa kwa ajili ya kibiashara au faida ya kifedha.

Haki zote za uvumbuzi zinazohusiana na tovuti hii zimehifadhiwa na kumilikiwa na shirika la Afya Bora ya Baadaye.

Muungano na Tovuti Zingine na Bidhaa vingine

Viungo vya tovuti zingine vimetolewa ili kufaidi wanaotumia tovuti hii.Hatuwezi kupeana udhamini wowote kuhusiana na usahihi ama kukamilika kwa yaliyomo katika tovuti  hizi ama kwamba bidhaa vinavyotolewa katika tovuti hizi  vinaweza kutegemewa,ni vya hali ya juu,ama kama bidhaa hivi vinafaa. Kuweko kwa viungo vingine kwenye tovuti hii si thibitisho kuwa Mradi wa Afya Bora ya Baadaye unakubaliana na maoni, taarifa au bidhaa vinavyotolewa katika tovuti hizi.

Sheria na Hukumu

Kanusho hili litafafanuliwa na kutawaliwa na sheria za Ayalandi na mabishano yoyote katika uhusiano wake utakuwa katika mamlaka ya koti za Jamhuri ya Ayalandi.

Mabadilisho

Tunahifadhi haki ya kurudia na kurekebisha kanusho hili mara kwa mara na nakala yoyote iliyofanyiwa marekebisho itaweza kutumika kutoka tarehe ya kwanza ya machapisho katika tovuti hii.

Mashauri ya Kibinafsi

Kama nafasi ya kuchangia data ya kibinasfi au ya kibishara (anwani za barua pepe, jina na anwani) imepeanwa, mchango wa data hupeanwa kwa hiari. Matumizi ya huduma zote zinazopeanwa zimeruhusiwa, kiufundi na iwezekanavyo bila ya ainisho kwamba data zozote ni za kibinafsi, zisizojulikana au za bandia.

Matumizi ya anwani zilizochapishwa, simu au nambari za faksi na anwani za barua pepe kwa madhumuni ya biashara yamekatazwa: watakaopatikana wakituma ujumbe usiohitajika watadhibiwa.

Namna ya kuwasiliana nasi

Maoni  au maswali  yoyote yale yanafaa kuelekezwa kupitia ukurasa wa kuwasiliana wa tovuti hii.

Read 12700 times
Translate