Karibuni Kwa Afya Bora ya Baadaye

Mabadiliko ya kimazingira kama vile mabadiliko ya tabia ya nchi, yataathiri na kuumiza afya bora ya binadamu ambayo inashugulikiwa kote ulimwenguni.Watakaoathiriwa zaidi na jambo hili ni wale maskini zaidi katika jamii.Jambo ambalo limeshughulikiwa zaidi ni usambazaji na mlipuko wa magonjwa hasa katika siku za usoni, na hasa namna ubadilikaji wa usambazaji na kuzuka kwa magonjwa ya ‘vector-borne diseases’ (VBDs) yanayosababishwa na ubadilikaji katika tabia ya nchi utadhuru afya. Madhara haya yanaweza kuwa ni mlipuko wa magonjwa miongoni mwa binadamu au mlipuko wa magonjwa yanayoathiri mifugo au mimea, na hili linaweza kutisha uhifadhi wa vyakula, shughuli za kilimo na biashara.

Mradi huu wa Afya Bora ya Baadaye huwa na motisha wa kushughulikia maathiri haya. Hulenga kushugulikia jambo hili kwa kubuni utaratibu utakaowezesha kugundua magonjwa matatu yanayosababishwa na maji ‘vector-borne diseases’, yaani malaria, homa ya bonde la ufa na kichocho katika nchi za Afrika Mashariki,hasa kushughulikia namna mazingira au tabia ya nchi inavyoendelea na mabadiliko ya kijamii na kiuchumi ili kubashiri hatari ya siku zijazo.Mradi huu wa  Afya Bora ya Baadaye umepokea  ufadhili wa milioni €3.38 kupitia kwa mradi wa 7th framework programme (FP7), ambacho ni kifaa cha Muungano wa Ulaya kinachofadhili utafiti Ulaya.

Habari

Prev Next

An integrated, sustainable fix is key to solving Africa’s energy woes

An integrated, sustainable fix is key to solving Africa’s energy woes

Solar energy is key to development in African countires. (Shutterstock)   Two out of every three Africans – a staggering 620 million people – do not have access to modern energy. And lack of energy is just one of many challenges in the Global South to sustainable development. It is abundantly clear...

19 Okt 2015

Read more

International Society for Neglected Tropical Diseases Interview - SDGs, climate change and NTDs with Dr Mark Booth, Durham University

World leaders recently met in New York to commit to 17 Sustainable Development Goals (SDGs) as well as 169 further global targets which are due to come into force on January 1st 2016. Building upon the narrow targets of the previous 8 Millennium Development Goals (MDGs), the SDGs should usher in...

07 Okt 2015

Read more

Wavutindani (Washiriki tu)


boton_login

                                          

An Introduction to the HEALTHY FUTURES Project from AquaTT on Vimeo.

Translate