UBIA wa Afya Bora Ya Baadaye

hf_group1_small

Ubia wa Afya Bora ya Baadaye huwa na mashirika katika bara la Afrika na Ulaya, idadi ile kubwa ikiwa (8 kwa 16) zikiwa ziko Afrika. Ubia huu (ukiwa na lengo la  kuendeleza utafiti unaotimiza madhumuni ya mradi wa Afya Bora ya Baadaye, ukiwemo utafiti uliodhaminiwa na Muungana wa Ulaya FP7)huongezea hadi upeo, utaalamu  uliopo katika utafiti na miundo misingi ili kuhahikisha gharama inayofaa kwa ENV.2010.1.2.1-1 inayoshugulikia; ‘Jinsi mabadiliko katika tabia ya nchi yanasababisha matukio na usambazaji wa magonjwa yanayohusiana na maji na yaenezwayo  na vekta katika bara la Afrika’

Wanachama wa ubia ambao wako katika taasisi zinazojishirikisha katika mradi huwa na utaalamu unaohitajika ili kuwe na mafanikio katika kuanzisha na kumaliza mradi wa Afya Bora ya Baadaye. Yanayoshughulikiwa huhusisha:magonjwa yale matatu yanayotokana na maji (pamoja na elimu ya magonjwa ya mlipuko na uonyeshaji wa mitindo); sayansi ya mazingira ( ikiwa na historia ya mazingira );mitindo katika mabadiliko ya mazingira ( ikiwa na tabia ya nchi); mchanganuo ( ukiwa na GIS na utambuzi wa mbali ); maarifa ya anga; afya ya jamii na sayansi ya mifugo; sayansi ya jamii,pamoja na elimu ya kiuchumi,jiografia,ustawi endelevu na mpango wa miji na usimamizi; uzuifu wa vekta wanaosababisha magonjwa.

Mratibu wa mradi ni Trinity College Dublin.

Prof David Taylor wa Chuo Kikuu cha Taifa ya Singapore ni mratibu Scientifc ya mradi.

Bonyeza menyu ilioko upande wa kulia kwa maelezo zaidi.


Read 18087 times
Translate