· Kutathimini na pia kusitawisha takwimu na kuonyesha mitindo ya magonjwa
· Utabiri wa hali ya juu kuhusu tabia ya nchi katika Afrika mashariki, pamoja na ubashiri wa kuzuka kwa magonjwa hatari katika siku za baadaye na kutambua jamii zenye mashaka
· Kutoa habari kwenya webu, kusimamia hafla na kuwa na mikutano ya kimataifa
· Kuwa na machapisho yaliyohakikiwa katika majarida ya kitaalamu
· Kurahisisha mazungumzo baina ya watafiti na washika dau wilioko katika ubia